ATUKUZWE BABA



Atukuzwe Baba,
na Mwana,
na Roho Mtakatifu.

Kama mwanzo,
na sasa, na siku zote,
na milele.

Amina.