Roho ya Kristu (Anima Christi)



Roho ya Kristu initakase.

Mwili wa Kristu uniokoe.

Damu ya Kristu inifurahishe.

Maji ya ubavu wa Kristu yanioshe.

Mateso ya Kristu yanitie nguvu.

Ee Yesu mwema unisikie.

Katika madonda yako unifiche.

Usikubali niwe nawe.

Na adui mwovu unikinge.

Saa ya kufa kwangu uniite.

Uniamuru kwako nije,
Ili pamoja na watakatifu wako nikutukuze,
Milele na milele.

Amina.