ala kwa Marehemu Wa Toharani
R
aha ya milele uwape Ee Bwana,
Na mwanga wa milele uwaangazie.
M
arehemu wote wastarehe kwa amani.
Amina.